Bank of Africa ni 11% ila flat rate
Tatizo lake?'Flat Rate' (Hapo ndipo penye tatizo)
Ttzo kuna hidden cost nyingi sana unaweza kuta unalipa zaidi ya hioBank of Africa ni 11% ila flat rate
Tatizo lake?
Kweli FLAT INTEREST ni tatizo na nimekuelewa sana mkuu.10% ya riba kwa mwaka kwa marejesho ya FLAT INTEREST ni sawa na 17.97% kwa mwaka kwa marejesho ya REDUCING BALANCE
MFANO/MAANA YAKE:-
Ukikopa TZS 1,000,000/- kwa marejesho ya mwaka mmoja kwa riba ya 10% utakatwa jumla ya riba/total interest ya TZS 100,000/- (FLAT RATE) wakati kwa kiwango hicho cha riba kwa REDUCING BALANCE jumla ya riba itakuwa TZS 54,992/-
Utaona kuna tofauti ya TZS 45,008/- !!!!!!
Natumai umeona TATIZO lilipo !! Usiangalia kiasi/digits za Riba bali kanuni Bank inayotumia kukokotoa marejesho
Kweli FLAT INTEREST ni tatizo na nimekuelewa sana mkuu.
Asante kwa darasa murua mkuu.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Kabisa usipoelewa unaingia kichwa kichwa kabisa.Poa mkuu !! Hizi taasisi sio za kuingia kichwa kichwa !!!
Na kwa hili jedwali je?10% ya riba kwa mwaka kwa marejesho ya FLAT INTEREST ni sawa na 17.97% kwa mwaka kwa marejesho ya REDUCING BALANCE
MFANO/MAANA YAKE:-
Ukikopa TZS 1,000,000/- kwa marejesho ya mwaka mmoja kwa riba ya 10% utakatwa jumla ya riba/total interest ya TZS 100,000/- (FLAT RATE) wakati kwa kiwango hicho cha riba kwa REDUCING BALANCE jumla ya riba itakuwa TZS 54,992/-
Utaona kuna tofauti ya TZS 45,008/- !!!!!!
Natumai umeona TATIZO lilipo !! Usiangalia kiasi/digits za Riba bali kanuni Bank inayotumia kukokotoa marejesho
Hii taasisi gani mkuu kwny screen shot?Na kwa hili jedwali je?
Tusaidie mkuu...
Sema ukikopa kwa miezi 2, jumla ya hela utakazolipa (riba + hela uliokopa) utalipa kiasi gani?
View attachment 772956
asante great thinker10% ya riba kwa mwaka kwa marejesho ya FLAT INTEREST ni sawa na 17.97% kwa mwaka kwa marejesho ya REDUCING BALANCE
MFANO/MAANA YAKE:-
Ukikopa TZS 1,000,000/- kwa marejesho ya mwaka mmoja kwa riba ya 10% utakatwa jumla ya riba/total interest ya TZS 100,000/- (FLAT RATE) wakati kwa kiwango hicho cha riba kwa REDUCING BALANCE jumla ya riba itakuwa TZS 54,992/-
Utaona kuna tofauti ya TZS 45,008/- !!!!!!
Natumai umeona TATIZO lilipo !! Usiangalia kiasi/digits za Riba bali kanuni Bank inayotumia kukokotoa marejesho
Nimepata hizi habari ila sina uhakika nazo kwamba CBA bank wamepunguza interest rate from 24% to 21%, ingawa hii rate sio friendly pia ila kama wamepunguza nadhani ni wakati wa mabenki sasa kuangalia namna ya kuwasaidia wananchi wanaopenda kukopa kwa ajili ya maendeleo katika nyanja mbalimbali kwa kupunguza riba zao.
Kama kuna mwenye uhakika wa hii taarifa atusaidie maana mimi nimezisikia kwa watu pia sijapata official source ya kuweka ukweli wa taarifa
Ndugu natumaini wengine watakuwepo humu kusoma maoni yako, ni darasa tosha kwa sisi "wamachinga" keep it up, na usichoke kutuelimisha...Hii taasisi gani mkuu kwny screen shot?
Mbona riba zao ziko juu sana?
Duh,
Yaan ukope 1 million, urejeshe 1.782 million kwa miez 8 tu.
Yaan riba yao ni 78.2% kwa miez 8,
Hii ni sawa na 117.29% kwa mwaka.
THIS IS VERY DANGEROUS LOAN.
HUU MKOPO HATA UKIFUNGUA BIASHARA HALALI HUCHOMOKI WALAH,
VINGINEVYO KAMA UNAENDA KUWEKEZA KWENYE UJANGILI
Na kwa hili jedwali je?
Tusaidie mkuu...
Sema ukikopa kwa miezi 2, jumla ya hela utakazolipa (riba + hela uliokopa) utalipa kiasi gani?
View attachment 772956
Na kwa hili jedwali je?
Tusaidie mkuu...
Sema ukikopa kwa miezi 2, jumla ya hela utakazolipa (riba + hela uliokopa) utalipa kiasi gani?
View attachment 772956
Mkuu hiyo signature yako, imenifurahisha.Yes, wamefanya hivyo base lending interest rate....ila rate ni negotiable kutegemeana na mkopaji? ukiwa mkubwa na wao wankuhitaji zaidi kuliko wewe wavyo wahitaji wao mwazungumza na mnakubaliana rate chini ya hapo.