Hajui organic compound of capitalHizo Ndoto ziliotwa Sana mwaka Jana, vipi zimeanza tena kuotwa na Vyura? Dangote aache kununua timu Uingereza au kwao Nigeria ambako soka Lipo juu na mashabiki wengi aje awanunue vyura? Kodisheni bhana
Woga huo kaka,uswahiba wa jk ndo umemshawishi,ujue mpira kwa billionea ni credibility n not a profit.Hizo Ndoto ziliotwa Sana mwaka Jana, vipi zimeanza tena kuotwa na Vyura? Dangote aache kununua timu Uingereza au kwao Nigeria ambako soka Lipo juu na mashabiki wengi aje awanunue vyura? Kodisheni bhana
Wala sijashangaa nilikuwa napenda ainunue na arsenal tujivuneMoja ya investment kaka,unamshanga dangote mbona humshangai bill gate kawekeza kwenye mihogo mtwara
Unamchokoza mkulu kayaBujibuji kuinunua Taifa stars
kuna nyepesi nyepesi kwamba Billionea Aliko Dangote kuinunua club ya Dar young African, na hii inasemekana imetokana na ushawiwishi wa mwanachama na shabiki kindakindaki wa watoto wa jangwan yaan mzee wa msoga.Hii itakua habari njema sana kwa fans wa Dar es salaam Young African