Bullshiit! Yaani Dangote aache kufanya Bussiness zake, eti aje kuinunua kandambili!. This is ridiculous. Kwa nini asiinunue Enyimba ya kwao? Kwa nini asiinunue TP Mazembe inayocheza huko duniani? Au kwa nini asiinunue Simba inayojulikana Africa? Timu ya Kandambili level yao ni kunnuliwa na akina Mzee Akilimali bana, Dangote level yake Arsenal BVB Dortmund simba Enyimba. Yeboyebo acheni Hizo, Juzi tu nimewaona hapa Morogoro mnapata stafstahi ya uji bwa ulezi na mihogo hapa Msamvu halafu leo mnajitia matawi ya Juu?