TETESI: Dangote kuinunua Yanga

TETESI: Dangote kuinunua Yanga

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,038
Reaction score
621
kuna nyepesi nyepesi kwamba Billionea Aliko Dangote kuinunua club ya Dar young African, na hii inasemekana imetokana na ushawiwishi wa mwanachama na shabiki kindakindaki wa watoto wa jangwan yaan mzee wa msoga.Hii itakua habari njema sana kwa fans wa Dar es salaam Young African
 
Hizo Ndoto ziliotwa Sana mwaka Jana, vipi zimeanza tena kuotwa na Vyura? Dangote aache kununua timu Uingereza au kwao Nigeria ambako soka Lipo juu na mashabiki wengi aje awanunue vyura? Kodisheni bhana
Hajui organic compound of capital
 
Hizo Ndoto ziliotwa Sana mwaka Jana, vipi zimeanza tena kuotwa na Vyura? Dangote aache kununua timu Uingereza au kwao Nigeria ambako soka Lipo juu na mashabiki wengi aje awanunue vyura? Kodisheni bhana
Woga huo kaka,uswahiba wa jk ndo umemshawishi,ujue mpira kwa billionea ni credibility n not a profit.
 
Moja ya investment kaka,unamshanga dangote mbona humshangai bill gate kawekeza kwenye mihogo mtwara
Wala sijashangaa nilikuwa napenda ainunue na arsenal tujivune
Madamu ni nyepesi nyepesi hizi habari acha tusubiri
 
kuna nyepesi nyepesi kwamba Billionea Aliko Dangote kuinunua club ya Dar young African, na hii inasemekana imetokana na ushawiwishi wa mwanachama na shabiki kindakindaki wa watoto wa jangwan yaan mzee wa msoga.Hii itakua habari njema sana kwa fans wa Dar es salaam Young African

Labda Dangote wa Tandale kwa Bibi Paka ila siyo huyu Dangote mwenyewe wa Nigeria.
 
Back
Top Bottom