Tetesi; Eti Jay Dee ameenda kupandikizwa mimba (artificial insemination)

SirBonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2010
Posts
378
Reaction score
435
Nimeinyaka kutoka kwenye chanzo kiaminifu kwamba JIDE kule Ufaransa amepandikizwa mimba kwani hana uwezo wa kushika kwa njia ya kawaida, kitaalamu wanaita Artificial insemination, yaani mbegu za kiume zinachukuliwa na kupandikizwa kwenye mji wa mimba kwa vifaa maalum. Nakutakia kila la kheri dada!
 
Mhn................. Labda...........
 
Mimba ya nani? Gadna au ya yule mwana JF mwenzetu BUJIBUJI?
 
Mmhhh, tenda zingine kwa nini hatupewi sisi tukaonyesha urijali wetu. Huyo mume wake ameshindwa kumpachika mimba mtoto portable namna hiyo.
 
Mimba ya nani? Gadna au ya yule mwana JF mwenzetu BUJIBUJI?

hapa huwa wanaweza tumia mbegu za mwanaume yoyote ikiwa mme wake sio rijali kwa hiyo usishangae mtoto akafanana na mimi kwa sababu nimechangia sana sperm banks za nchi mbalimbali
 
this is jamii forum......
 
tatizo alitoa mimba nyingi akiwa shule.

habari ndio hiyo, haina chenga wala mawimbi. narudia tena ukweli ndio huo huo! mji wa mimba nyakanyaka!!! msiotaka kuamini shauri yenu.
 
ahhaaa ndiyo maana nilimuona na Gadna amemfuata kule....may be
 
kwahiyo kama ndivyo ilivyo, halafu inakuaje sasa!!
unagurahi, unachukia au inakuaje...........sielewi unataka nini baada ya tetesi yako kuwa kweli.
 

Sasa wewe hayo yanakuhusu nini; ni mambo yake binafsi. Haikusidii kufuatilia mambo ya watu binafsi.
 
hapa huwa wanaweza tumia mbegu za mwanaume yoyote ikiwa mme wake sio rijali kwa hiyo usishangae mtoto akafanana na mimi kwa sababu nimechangia sana sperm banks za nchi mbalimbali



Mbona Gadna ana mtoto alizaa na mke wake wa kwanza, au jide mayai yake ndo problem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…