Tetesi: FIFA kuifungia Simba SC kama Jumanne wataandamana

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Kuna kila dalili ya Shirikisho la Sola Duniani Fifa kuifungia Timu ya Simba sc kwa sababu ya kutaka kutumia Serikali katika kuilazimisha TFF iwape point tatu
Kwa utaratibu na sheria za FiFa serikali airuhusiwi kuingilia maamuzi ya Soka
1:Simba sc kuandamana kuelekea wizara ya Michezo-hapa ni kwenda kuiomba Serikali iwalazimishe TFF kutowapoka point 3
2:Haji manara namnukuu akisema hivi kwa serikali hii unaweza kutudhumu,hivi kwa serikali hii ya jpm mnaweza kutudhumu- hapa anazidi kuitisha Tff
 
WATZ mna tetesi kutoka FIFA!! ama kweli hii kali....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…