Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu nimeusikia.Kuna TETESI kuwa hakuna matata nyimbo mpya ya MARIOO kufanyiwa remix nne
Remix hizo ni kwa wasanii wafuatao
1. Diamond
2. Harmonize
3. Alikiba
4. Darasa
Watu wanasubiri kuona ipi itakuwa Kali zaidi
Wimbo siupendi huoHuu sijawahi kuusikia.
Hivi katika orodha ya nyimbo za Marioo, kuna wimbo mtamu zaidi ya Dear X?
Pole....Wimbo siupendi huo
Haigusi Hata ile nyimbo ya Dar kugumHuu nimeusikia.
Hivi katika orodha ya nyimbo za Marioo, kuna wimbo mtamu zaidi ya Dear X?
Mkuu kinachonifurahisha katika wimbo huo ni ile mistari ya: ...'utamrudia x wako ama bora kufa.. Bora kufaaa'... 😄😄.Wimbo siupendi huo
Mm naona lonely n kali kuliko zoteHuu nimeusikia.
Hivi katika orodha ya nyimbo za Marioo, kuna wimbo mtamu zaidi ya Dear X?