Tetesi: Hatimae ya Feisal yametimia

Tetesi: Hatimae ya Feisal yametimia

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Klabu ya Yanga imeripotiwa kurejesha pesa za kuvunja mkataba kiasi cha Tsh milioni 112 zilizolipwa na mchezaji Feisal Salum

Klabu hiyo imemuandikia barua mchezaji huyo na kumtaka azingatie mkataba baina yao huku wakiziandikia mamlaka za soka pia

Fei amerejea kambini rasmi Yanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mmechanganyikiwa na hii habari
 
Klabu ya Yanga imeripotiwa kurejesha pesa za kuvunja mkataba kiasi cha Tsh milioni 112 zilizolipwa na mchezaji Feisal Salum

Klabu hiyo imemuandikia barua mchezaji huyo na kumtaka azingatie mkataba baina yao huku wakiziandikia mamlaka za soka pia

Fei amerejea kambini rasmi Yanga
Kuna watu watachanganyikiwa iwapo watamuona uwanjani akipambana dhidi ya "hiyo timu yake mpya".
 
Duh!...ishu ya Fei, Yanga na Azam ni kama movie ya kihindi.
 
Sisi wa Tanzania no wapumbavu Sana, Sema hatujijui. HUWA TUNATUMIA MUDA MWINGI KUJADILI VITU VIDOGO NA VISIVYO NA TIJA KWA MUSULI SANA. tuko mbali kukombolewa kifikra.
 
Back
Top Bottom