BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Kuna watu watachanganyikiwa iwapo watamuona uwanjani akipambana dhidi ya "hiyo timu yake mpya".Klabu ya Yanga imeripotiwa kurejesha pesa za kuvunja mkataba kiasi cha Tsh milioni 112 zilizolipwa na mchezaji Feisal Salum
Klabu hiyo imemuandikia barua mchezaji huyo na kumtaka azingatie mkataba baina yao huku wakiziandikia mamlaka za soka pia
Fei amerejea kambini rasmi Yanga
Muda ni Mwalimu mzuri, kesho so mbaliKuna watu watachanganyikiwa iwapo watamuona uwanjani akipambana dhidi ya "hiyo timu yake mpya".
Vipi ameonekana akipambana?Kuna watu watachanganyikiwa iwapo watamuona uwanjani akipambana dhidi ya "hiyo timu yake mpya".
Aziz Kii amepambana kwa niaba yake, na matokeo yamepatikana.Vipi ameonekana akipambana?