Blessingme
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 250
- 52
Dah, mimi sijapata hizo tetesi, lakini budget si ilisema mwaka huu kutakuwa na ajira mpya 64000 sasa inakuwaje wanatoa 600 tu.
zote ni tetesi!Habari wana jf! Nimepata habari kwa mdau kuwa hazina pamoja na utumishi wapo kwenye mchakato wa mwisho kutangaza ajira 600 za fani ya ugavi na ununuzi, na 600 tena za uhasibu, ili kupata uhakika 2naomba mwenye info za uhakika atujuze.
Dah, mimi sijapata hizo tetesi, lakini budget si ilisema mwaka huu kutakuwa na ajira mpya 64000 sasa inakuwaje wanatoa 600 tu.
habari wana jf! Nimepata habari kwa mdau kuwa hazina pamoja na utumishi wapo kwenye mchakato wa mwisho kutangaza ajira 600 za fani ya ugavi na ununuzi, na 600 tena za uhasibu, ili kupata uhakika 2naomba mwenye info za uhakika atujuze.
mwaka huu serikalini hakuna ajira zaidi ya waalimu na madaktari,serikali haina hela
nawasilisha kutoka hapa utumishi
Km ni kwel itakua poa coz wanaugavi wapo wngi sana mtaani wanasubir nafasi km hzo jaman.
Hata mimi nilisikia kuwa mwaka huu wataajiri watu wa elimu na Afya tu tena wachache.Ila kama ni kweli well n good.Walengwa tupo tunasikilizia hizo ajira zitoke tukutane sokoni.
Tunazisubiria ile mbaya yan wazilete tu men:majani7:
Watu na BBA zetu tunahangaika mtaani huku