Hiyo ni kweli mkuu zamani wanafunzi wa private walikua na paper 2 au 3 kila somo wakati wa school wanafanya 1 au 2.siku hizi grade A ya school inakua 71%ilhali wa private 81% utashangaa anakandamizwa zaidi
Wewe ni Bongolala kama jina lako,acha kupotosha umma.Hiyo ni kweli mkuu zamani
wanafunzi wa private walikua na paper 2 au 3 kila somo wakati wa school
wanafanya 1 au 2.siku hizi grade A ya school inakua 71%ilhali wa
private 81% utashangaa anakandamizwa zaidi
Hamna kumtafuta mchawi,Private Candidates wengi wao ni vilaza.Walishindwa wakati wako shuleni na walimu full time alaf unategemea wafanye maajabu mtaani kwa kujisomea vichochoroni na vichwa vimeshaingia moshi ? Alama wanazopata ndizo wanazostahili wewe kama ulifeli ni ubongolala wako tu.Necta baraza lote
lifumuliwe manake ukiangalia wanaorisit ni idadi kubwa sana na wanaopata
ni 10 ndani ya 100 au hata 9. Sasa siyo kweli kuwa hawasomi ila ni
biashara iliyoko hapo necta na inafanywa na hao katika hilo
baraza.
Hamna kumtafuta mchawi,Private Candidates wengi wao ni vilaza.Walishindwa wakati wako shuleni na walimu full time alaf unategemea wafanye maajabu mtaani kwa kujisomea vichochoroni na vichwa vimeshaingia moshi ? Alama wanazopata ndizo wanazostahili wewe kama ulifeli ni ubongolala wako tu.