Tetesi: Inasemekana sportpesa watakua wadhamini wa simba na yanga

dickchiller

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,847
Reaction score
3,149
Habari zisizo rasmi inasemekana kua sportpesa watakua wadhamini wa klabu kongwe hapa nchini zinaenda mbali zaidi kua yanga wamepata mkataba mnono kuliko simba . Je yule aliesema tatizo ni umbumbumbu yuko sahihi
 
tangazo la kampuni hiyo ya kubet japo limekuja kiaina
 
Sportpesa wana pesa kwel
 
Walikuwa na mazungumzo na Yanga kabla ya kuja sijui kama walishaafikiana
 
Yawezekana mahitaji ya Yanga yakawa makubwa zaidi ikiwa ni pamoja na kukomboa jengo. Na zote hizi ni tetesi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…