Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ukubwa wa timu si kama wa binadamu , kwamba aliyezaliwa zamani au kikongwe mwenye mvi ndio mkubwa , timu kubwa ni ile inayoshinda makombe mbalimbali , Arsenal ni timu mbovu .Arsenal si timu mbaya, ila tuu huwa hawachukui makombe
Kwa hyo unaeza uka bet arsenal kuwa juu ya leceister mwakani, kuliko leceister kurudia walcho fanya this yr, so kahamia sehem sawa tuu
Arsenal, Walikuwa wanahitaji mshambuliaji, lakini sidhani kama Vardy ndiye mshambuliaji walo kuwa waki muhitaji
Kutoshinda kombe si ubovu, dortmund hawajshinda kombe llte miaka 2 mfululizo yat hatuwez kusema ni wabovuUkubwa wa timu si kama wa binadamu , kwamba aliyezaliwa zamani au kikongwe mwenye mvi ndio mkubwa , timu kubwa ni ile inayoshinda makombe mbalimbali , Arsenal ni timu mbovu .
Hebu fafanua kidogo .chaguo zuri, kwa leister kuingia top4 msimu ujao ni ndoto lakini kwa arsenal inawezekana, na hiyo ndo platform ambayo wachezaji wengi wanaitaka
mwakani wanashuka daraja ndo mana kaja kwenye timu ya uhakikaVyombo mbalimbali vya habari vya ulaya vimeripoti leo hii.
" Jamie Vardy is widely reported to be the subject of a bid from Arsenal that meets A BUY OUT CLAUSE in the extended deal he penned in february "
MyTake - huu utakuwa uhamisho wa kijinga sana kuwahi kufanyika England , unatokaje kwenye timu nzuri na kuhamia timu mbovu kama Arsenal ?
Unamaanisha dili tayari ?Amekubaliana vigezo na masharti tayar
Kama kigezo ni makombe basi timu bora ni liver, Man U Na Arsenal!Ukubwa wa timu si kama wa binadamu , kwamba aliyezaliwa zamani au kikongwe mwenye mvi ndio mkubwa , timu kubwa ni ile inayoshinda makombe mbalimbali , Arsenal ni timu mbovu .
kwanza leister kwenye uefa mwakani hawatofika popote tofauti na arsenal ambao wanafikaga angalau robo, kisha mwakani leister top four wataisikia kwenye bomba, wacha akapambane kijana ni kweli arsenal timu haipati vikombe lakini inacheza mashindano mengi kitu ambacho ni kizuri kwa mchezajiHebu fafanua kidogo .
Yes na leo tayar anafanyiwa vipimo vya afyaUnamaanisha dili tayari ?
Kweli kabisa this is your take sio ya Jamie Vardy au wakala wake ambao naamini hawajakurupukaVyombo mbalimbali vya habari vya ulaya vimeripoti leo hii.
" Jamie Vardy is widely reported to be the subject of a bid from Arsenal that meets A BUY OUT CLAUSE in the extended deal he penned in february "
MyTake - huu utakuwa uhamisho wa kijinga sana kuwahi kufanyika England , unatokaje kwenye timu nzuri na kuhamia timu mbovu kama Arsenal ?
Premier league ambayo arsenal wanashiriki lengo lake kuu ni kumtafuta bingwa , Arsenal haijawahi kutwaa ubingwa huo kwa zaidi ya miaka 10 , hata kwenye champions league kwa uhakika wamekuwa wasindikizaji tu , kwa sasa arsenal ni kati ya timu isiyomtisha yeyote ndani na nje ya uingereza .Kama kigezo ni makombe basi timu bora ni liver, Man U Na Arsenal!
Hizo nyingine haziwafikii hao kwa idadi ya makombe!!
Unanishangaza mkuu kwa analysis yako kwamba Arsenal ni timu mbovu???
Timu ambayo kwa miaka 17 mfululizo haijawahi kushindwa kufuzu Champions league!! Uko serious kweli wewe??
Namsikitikia sana huyu kijana kwa kupoteza kipaji chake .Kweli kabisa this is your take sio ya Jamie Vardy au wakala wake ambao naamini hawajakurupuka
Hamna kaka hawaja kurupuka mpaka wanachukua maamuzi wameangalia mbali. Tatizo kuna vitu sisi kama washabiki tuna angalia na mchezaji na wakala wake wana angalia so they decide what is best for them.Namsikitikia sana huyu kijana kwa kupoteza kipaji chake .