HahahaNamsikitikia sana huyu kijana kwa kupoteza kipaji chake .
Hela a.k.a Fwedhaaaaa !!!!Hamna kaka hawaja kurupuka mpaka wanachukua maamuzi wameangalia mbali. Tatizo kuna vitu sisi kama washabiki tuna angalia na mchezaji na wakala wake wana angalia so they decide what is best for them.
With Vardy scoring 24 Premier League goals last term and Ozil creating 144 chances in 35 appearances last term, Arsenal fans will undoubtedly be hoping that the Leicester forward arrives to finally help their chief creator break Henry's assist record next term.Hahaha
Jermie ni mzee mwache akaendeleze mpira wake kwa Wenger
We bwege mtozeni kabisa liverpool ina miaka mingapi haijachukua ubingwa na bado wachezaji wazur na wenye viwango wanakuja pale mfno tores suarez nk.Premier league ambayo arsenal wanashiriki lengo lake kuu ni kumtafuta bingwa , Arsenal haijawahi kutwaa ubingwa huo kwa zaidi ya miaka 10 , hata kwenye champions league kwa uhakika wamekuwa wasindikizaji tu , kwa sasa arsenal ni kati ya timu isiyomtisha yeyote ndani na nje ya uingereza .
Sasa yale mambo ya kale kwamba eti waliwahi kuwa mabingwa yanabaki kwenye historia tu , kama tunavyosoma kuhusu akina kinjikitile , mkwawa , chabruma etc.
Jisikitikie wwe usiejua mpira baba uantokwa na povu tuNamsikitikia sana huyu kijana kwa kupoteza kipaji chake .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora angehamia Taifa stars kuliko kwenda arsenal.
Panic !!!!Jisikitikie wwe usiejua mpira baba uantokwa na povu tu
Arsenal itamvuruga nani ?[emoji23][emoji23] watu mmevurugika mapema kwiiiii kwiiii mtasema yote safari hii na hakuna rangi mtaacha ona.
Arsenal itamvuruga nani ?
Arsenal timu mbovu!Vyombo mbalimbali vya habari vya ulaya vimeripoti leo hii.
" Jamie Vardy is widely reported to be the subject of a bid from Arsenal that meets A BUY OUT CLAUSE in the extended deal he penned in february "
MyTake - huu utakuwa uhamisho wa kijinga sana kuwahi kufanyika England , unatokaje kwenye timu nzuri na kuhamia timu mbovu kama Arsenal ?
arsenal akiendelea kusajili kiboya atabaki kuwa follower tuu pale EPL [emoji23]
embu fikiria man kamvuta mou
city kamvuta guardiola aisee arsenal labda akomalie calling cup.
Sidhani kama unakumbuka Mara ya mwisho kumfunga mou kwenye ligi ilikua mwaka gani, na raisi wa Tanzania alikua nani.Ivi uyu Mo' si juzi hapa kachezea visago mfulululizo mpaka katolewa nduki..?mleteni uyo Pep uku hata Crystal Palace anadinda.
Andiko lako linasononesha sana !Sidhani kama unakumbuka Mara ya mwisho kumfunga mou kwenye ligi ilikua mwaka gani, na raisi wa Tanzania alikua nani.
Sidhani kama unakumbuka Mara ya mwisho kumfunga mou kwenye ligi ilikua mwaka gani, na raisi wa Tanzania alikua nani.