demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Nilisema kuwa zile za Ulaya bado hazijafika.
Kuna uwezekano zikatumika hizi. Hizi zitatumika hadi kwenye Ligi pia.
Kila la kheri watani zangu.
Maana uzi wenu ni takataka tupu.
Note: Nimemuona Manzoki akinong'onezana na Nabi hapo chini yasije yakawa yale yale ya Aziz KI. ,[emoji23][emoji23]