Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,293
- 5,163
Kuna tetesi nimezipata toka kwa Mdau mmoja akiniambia kwamba kuna mpango wa kuchukua km 10 toka ferry upande wa Kigamboni kwa ajili ya kupanua bandari ya Dar es Salaam ili kuwezesha ujenzi wa zone ya viwanda, yards za magari, bohari za mafuta, na sehemu ya shehena ya mizigo.
Kama tetesi hizi ni kweli basi ina maana mpango wa ujenzi wa mji mpya Kigamboni utakuwa umebadirika na kuwa Mji wa Bandari na Viwanda mfano wa ilivyotakiwa kuwa Bandari ya Bagamoyo. Je wazo lipi ni jema kati ya haya? Karibuni.