Tetesi, Kocha msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja kaachia ngazi??

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wadau kwema??

Kuna tetesi kua Kocha msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amethibitisha kuachana na klabu hiyo leo, kuna mwenye any clue kuhusu hili?? Kama ni kweli nadhani ni bora hata angeondoka Omog kuliko huyu Mayanja
 
Ibrahim Ajibu hajawahi kumuacha mtu salama
 
Wadau kwema??

Kuna tetesi kua Kocha msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amethibitisha kuachana na klabu hiyo leo, kuna mwenye any clue kuhusu hili?? Kama ni kweli nadhani ni bora hata angeondoka Omog kuliko huyu Mayanja
Bora Omog atimue haraka Jackson ndio muhimili
 
Wanadai na mavugo pia kuna utata japo sina uhakika nimeona kwenye mitandao
 
Kocha Jackson Mayanja ameamua kuachana na klabu ya Simba na kurejea kwao Uganda.

Mayanja ambaye bado yuko jijini Dar es Salaam, ameamua kuachana na Simba akidai ana matatizo yake binafsi.

“Ni matatizo ya kifamilia lakini suala hilo siwezi kulizungumzia kwa sasa,” alisema.

Lakini habari kutoka Simba zimeeleza kuwa sasa wako katika hatua za mwisho kuvunja mkataba wake baada ya kukubaliana naye kutokana na uamuzi wake huo.

Muungwana Blog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…