Tetesi kuhusu NBC Bank

Tetesi kuhusu NBC Bank

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,059
Reaction score
1,572
Nasikia NBC Bank, mambo magumu, benki ipo kwenye hatua za Kufilisiwa!

Wenye Taarifa za Ndani, tunaomba msaada, tukavute Marupurupu yetu mapema.
 
Chelewa chelewa utakuta mwana SI...
 
Nasikia NBC Bank, mambo magumu, benki ipo kwenye hatua za Kufilisiwa!

Wenye Taarifa za Ndani, tunaomba msaada, tukavute Marupurupu yetu mapema.

Mwambie alie kutuma atakuletea chakula ukiwa jela? Akisema ndio basi endelea na hii kazi
 
Back
Top Bottom