Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,059 Reaction score 1,572 Dec 3, 2014 #1 Nasikia NBC Bank, mambo magumu, benki ipo kwenye hatua za Kufilisiwa! Wenye Taarifa za Ndani, tunaomba msaada, tukavute Marupurupu yetu mapema.
Nasikia NBC Bank, mambo magumu, benki ipo kwenye hatua za Kufilisiwa! Wenye Taarifa za Ndani, tunaomba msaada, tukavute Marupurupu yetu mapema.
Granta JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 5,016 Reaction score 6,310 Dec 3, 2014 #2 Chelewa chelewa utakuta mwana SI...
T TumainiEl JF-Expert Member Joined Jan 13, 2010 Posts 6,782 Reaction score 12,716 Dec 3, 2014 #3 Mwandwanga said: Nasikia NBC Bank, mambo magumu, benki ipo kwenye hatua za Kufilisiwa! Wenye Taarifa za Ndani, tunaomba msaada, tukavute Marupurupu yetu mapema. Click to expand... Mwambie alie kutuma atakuletea chakula ukiwa jela? Akisema ndio basi endelea na hii kazi
Mwandwanga said: Nasikia NBC Bank, mambo magumu, benki ipo kwenye hatua za Kufilisiwa! Wenye Taarifa za Ndani, tunaomba msaada, tukavute Marupurupu yetu mapema. Click to expand... Mwambie alie kutuma atakuletea chakula ukiwa jela? Akisema ndio basi endelea na hii kazi
Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,059 Reaction score 1,572 Dec 3, 2014 Thread starter #4 Granta said: Chelewa chelewa utakuta means SI... Click to expand... Wanazingua kutoa pesa, kufika kesho nitakuwa nimemaliza toa Kakifuta jasho kangu.
Granta said: Chelewa chelewa utakuta means SI... Click to expand... Wanazingua kutoa pesa, kufika kesho nitakuwa nimemaliza toa Kakifuta jasho kangu.
Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,059 Reaction score 1,572 Dec 4, 2014 Thread starter #5 TumainiEl said: Mwambie alie kutuma atakuletea chakula ukiwa jela? Akisema ndio basi endelea na hii kazi Click to expand... Unaelewa maana ya tetesi?
TumainiEl said: Mwambie alie kutuma atakuletea chakula ukiwa jela? Akisema ndio basi endelea na hii kazi Click to expand... Unaelewa maana ya tetesi?