Tetesi kuhusu Saga na Nyeto Boarding Schools

Tetesi kuhusu Saga na Nyeto Boarding Schools

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Nakaa karibu na shule moja ya Bweni hapa.Wasichana hawa wanapenda sana kununua tunda la ndizi mbivu.ila kuna tetesi kua baadhi huzitumia kama swagz.Na pia mvulana mmoja alinisimulia kua shuleni kwao magodoro mengi pindi wafungapo yakipelekwa stoo yametobolewa katikati.Dah wadau hii chanzo nini??
 
Ni vizuri ukawauliza hao wanafunzi wenyewe
 
wao ni vigumu sana kukubali na pia ntawaanzaje....na itakua hawanipi majibu ya kushiba
 
....waweke maFUTA ya TAA kwenye MAharagwe....
 
sasa sisi Wanafunzi, ujinga mwingine bana!
 
Pyuchu-pyuchu-pyuchu...
Kapooovu au babycare kwa mbali,aseee balaa sana shule za boarding...!!
Ndio maana zinazalishaga mashoga na malesbians... khaa
 
Bora watumie ndizi ,mimba ni hatari kwa mwanafunzi
 
Bora kuwa kha*ni*thi kwa kupiga Nyeto kuliko kuwa Choko kama wale wa Makongo walioripotiwa hapa Jana!
 
Ushauri kwa mleta mada, ni vizuri uchague mada za kujenga kuliko kuwapotezea watu muda kusoma upuuzi ,
hii inaonesha ni jinsi gani ubongo wako ulivyoathirika na mapepo ya ngono, sasa humu ni eneo la mijadala ya watu wenye heshima zao na wenye akili timamu jirekebishe mapema
 
wa mawazo mana hii jukwaa inahusu nini.yani unataka niwaze kama wewe
 
....waweke maFUTA ya TAA kwenye MAharagwe....

Dah, nakumbuka wakati nasoma boarding siku moja wakati wa mlo wa mchana yaliwekwa mafuta ya taa kwenye maharagwe. Sijui walizidisha kipimo, kwani ile kuonja tu wanafunzi wakaja juu na kusababisha mgomo bab kubwa. Waliokula wakaenda hospitali wakisingizia matumbo kuuma. Walikuwepo madaktari wawili wazungu, ile kusikia tu ni kerosine, wakawalaza wakidai wamekula sumu. Lakini kama kawaida ya wanafunzi, utatuzi ulikuwa simpo sana. Ulipikwa wali ukaliwa saa 11 jioni na mwingine saa 3 usiku. Double wali kwa mwanafunzi ilikuwa ni zaidi ya ushindi. Ila hakuna aliyeelewa kama lengo ni kupunguza hamu, hii nimeielewa hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom