Nakaa karibu na shule moja ya Bweni hapa.Wasichana hawa wanapenda sana kununua tunda la ndizi mbivu.ila kuna tetesi kua baadhi huzitumia kama swagz.Na pia mvulana mmoja alinisimulia kua shuleni kwao magodoro mengi pindi wafungapo yakipelekwa stoo yametobolewa katikati.Dah wadau hii chanzo nini??
Ushauri kwa mleta mada, ni vizuri uchague mada za kujenga kuliko kuwapotezea watu muda kusoma upuuzi ,
hii inaonesha ni jinsi gani ubongo wako ulivyoathirika na mapepo ya ngono, sasa humu ni eneo la mijadala ya watu wenye heshima zao na wenye akili timamu jirekebishe mapema
Dah, nakumbuka wakati nasoma boarding siku moja wakati wa mlo wa mchana yaliwekwa mafuta ya taa kwenye maharagwe. Sijui walizidisha kipimo, kwani ile kuonja tu wanafunzi wakaja juu na kusababisha mgomo bab kubwa. Waliokula wakaenda hospitali wakisingizia matumbo kuuma. Walikuwepo madaktari wawili wazungu, ile kusikia tu ni kerosine, wakawalaza wakidai wamekula sumu. Lakini kama kawaida ya wanafunzi, utatuzi ulikuwa simpo sana. Ulipikwa wali ukaliwa saa 11 jioni na mwingine saa 3 usiku. Double wali kwa mwanafunzi ilikuwa ni zaidi ya ushindi. Ila hakuna aliyeelewa kama lengo ni kupunguza hamu, hii nimeielewa hivi karibuni.