Game Theory I
Member
- Nov 28, 2011
- 32
- 8
Miraji anao uhuru wa kutoa maoni kama mimi na wewe tunavyofanya. Pia anayo haki ya kuchagua chama anachokitaka ajiunge nacho kutokana na kile anachokiamini. Tusishangae 2015, Miraji akaibuka na kugombea ubunge kupitia 2015 jimbo la Bagamoyo au lolote kupitia CDM.
\1. Kwenye ****** Andika Mkwer.e
2. Hapo kwenye red, hicho ni kitu gani?
3. Sread yako haina tija futilia mbali
Do kama Game Theory ndio uko kihivi siku hizi, basi jf tunakazi!.
Hata na Majani!!!ni mtazamo tu mashabiki msijenge chuki..
Kumbe samaki hawozi wote!!!!!!!!!!Heshima mbele,
Wadau wiki liyopita huyu "mtoto mkubwa wa pili wa kiume" wa JK kaweka picha mbili za viongozi wabunge na mawaziri,Wassira na Komba katika ukurasa wake wa Facebook wakiwa wamelala, https://www.facebook.com/mkikwete (Wassira ni mshirika wa JK na ****** anamuamini,jana alikuwepo wakati JK anakutana na CDM) na juzi juzi Mtanzania Daima wamerusha habari kwamba dogo,a.k.a Teja kaitetea CDM kwamba ni chama cha Watanzania.Vipi,ndo harakati za JK kuitosa CCM zimeanza?