Tetesi: Kuna timu kadhaa kugoma kucheza na Simba

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Nimesikia hili kuwa kuna timu zinajiandaa kuandika barua ya Mgomo TFF dhidi ya mechi za Simba.

Inasemekana Simba dakika zinavyozidi kwenda ndo hupata nguvu. Inasemekana hasa kipindi cha pili huwa ni kigumu sana kwa team pinzani. Hivyo kuna timu zitagoma kucheza kipindi cha pili.ili ziwe zinacheza kipindi cha kwanza tu na mechi inaishia hapo.

Wataalam wanasema wachezaj wa Simba wana nguvu sana kutokana na mazoezi wanayopata na huwa dakika zinavyozidi kwenda ndo wanavyozidi kupata pumzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…