Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Wanafanya hivi kwa sababu wanajua wabongo tumelala kifo cha mende. Na mabaya zaidi wanafanya haya kwa vijana na wanakuwa kimya. Haya mambo wangeweza kurahisha kabisa kwa kutenga sehemu ya kufanyia usahili kila mkoa ili kurahisha maisha ambayo tayari yako juu sana kwa sababu ya uzembe wa watawala. U-nyumbu ni hasara kila siku.Du , nimehairisha kwenda kwa sababu ya gharama za huko, nauli , pa kulala, chakula, idadi ya watu , inabidi watafute alternative written interview iwe inapigwa online au, au mtihani ifanyike kikanda , au katika kila mkoa , ili kurahisisha
Kwa sasa hiyo ni kawaida tuKama hili nililosikia lina ukweli basi hali ni tete sana katika utaratibu wa ajira sahizi. Imagine nafasi ziko 350 tu ila raia wanaowania kinyanganyiro wanakaribua 20K..
Niwatakie kila la heri wadogo zangu najua sio kosa lenu ila ndio hali ya maisha ilipofikia hapo!
Wale wenye uwezo msisite kuwapa nauli na accomodation madogo maana Ijumaa patasheheni hapo Dodoma mjini.
Tafuteni ajira nje ya Nchi,kukomaa na bongo tuu mtakwisha.Kama hili nililosikia lina ukweli basi hali ni tete sana katika utaratibu wa ajira sahizi. Imagine nafasi ziko 350 tu ila raia wanaowania kinyanganyiro wanakaribua 20K..
Niwatakie kila la heri wadogo zangu najua sio kosa lenu ila ndio hali ya maisha ilipofikia hapo!
Wale wenye uwezo msisite kuwapa nauli na accomodation madogo maana Ijumaa patasheheni hapo Dodoma mjini.
Ongezea na gharama za kuvuta umemeKama hili nililosikia lina ukweli basi hali ni tete sana katika utaratibu wa ajira sahizi. Imagine nafasi ziko 350 tu ila raia wanaowania kinyanganyiro wanakaribua 20K..
Niwatakie kila la heri wadogo zangu najua sio kosa lenu ila ndio hali ya maisha ilipofikia hapo!
Wale wenye uwezo msisite kuwapa nauli na accomodation madogo maana Ijumaa patasheheni hapo Dodoma mjini.
Wewe unasema makaburi wakati mwenzako Idugunde the witch mwenye diploma ya theory in welding anasafisha vyoo vya LumumbaMmmmh kama kweli bora niendelee na kazi yangu ya kuchimba makaburi!