Yap yap hapo pembeni na leganga supermarket....karibu Arusha...n babkubw s mchezoo
Hamjaanza kutandikana risasi huko...hook up ya msando iko maeneo gani?
Club D Moshono
Hamjaanza kutandikana risasi huko...hook up ya msando iko maeneo gani?
Hii club mpya ya hapo usa river binafsi niliwahi kuonyeshwa picha na jamaangu mmoja ambae moja wa madesigner ni ndugu yake, kiukweli ikikamilika lazima itazima kiu zetu. Wamejaribu kugusa kila aina na rika kutokana na picha na maelezo yake....nikipata baadhi ya picha nitawekea na dhumuni langu ni kutaka kujua inafunguliwa lini na itaitwaje kwa mwenye kujua