Tetesi kwamba vijana wa Kimaasai walikua wamejiandaa kumzuia Magufuli

Tetesi kwamba vijana wa Kimaasai walikua wamejiandaa kumzuia Magufuli

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Habari zimejitokeza kwamba polisi wengi wamewekwa doria kwenye maeneo ya Namanga ili kuwakabili vijana wa kimaasai waliokua wanataka kumzuia Magufuli asiingie Kenya kuhudhuria kuapishwa kwa rais Uhuru Kenyatta.
--------------------------------------------------------------

1237664.jpg

Kajiado police manned Namanga on Tuesday after reports that Maasai Morans would block Tanzanian leader John Magufuli from attending Uhuru Kenyatta’s inauguration.

Central police commander Eric Nteere confirmed in the morning that he had sent a "number of officers and vehicles" to the border town for checks.

“It is true. Our intelligence on the ground leaked information that a number of Morans intended to block Magufuli’s motorcade from accessing Nairobi.

"I have done everything necessary...I have deployed enough security agents,” Nteere on phone from Kajiado.

The Tanzanian President is among at least 20 heads of state or senior ministers who will attend the Kasarani stadium ceremony from 10am.

Organisers are expecting about 60,000 people to fill the venue and giant screens have been set up outside for those unable to get in.

Deputy President William Ruto will also be sworn-in.

Magufuli 'escapes' Morans in Namanga to attend Uhuru inauguration
 
Hahahahahaha hizo ni tetesi tu mbona makamu wa raisi yupo uwanja wa kasarani tayari anahudhuria, labda utupe sababu nyingine ya kutokwenda ambayo watanzania wengi tunaifahamu vizuri Hahahahahaha
 
Hizo ni hasira za maumivu ya kuuziwa ng'ombe waliongia Tz bila kibali
 
Hahahahahaha hizo ni tetesi tu mbona makamu wa raisi yupo uwanja wa kasarani tayari anahudhuria, labda utupe sababu nyingine ya kutokwenda ambayo watanzania wengi tunaifahamu vizuri Hahahahahaha

Poa maana makamu wake amekuja, sidhani kama Wamaasai walikua na haja na mama, issue yao ilikua wakutane na mkulu wenu moja kwa moja ili wadai ng'ombe wao, sasa amekwepa kwa kugoma kuja.
 
Poa maana makamu wake amekuja, sidhani kama Wamaasai walikua na haja na mama, issue yao ilikua wakutane na mkulu wenu moja kwa moja ili wadai ng'ombe wao, sasa amekwepa kwa kugoma kuja.
kwani raisi wetu alikuwa aje kwa bus ama ?
 
Story zavijiweni tena za wanywa viroba tu
Kwanza Kwani kulikuwa naulazima wa Magu kwenda Kenya!
Kufuata lipi la maana !!

Nisingefurahia kama Magu angeenda kwenye sherehe hizo
Anamengi yakufany yenye Manufaa kwa watanzania kuliko Kwenda kwa watu wanafiki na wazandiki full Wivu
 
Wewe ni idiot...!!!
 
Mijitu yengine hata akili haitumii hivi huyu rais uzuiwe ni wamasai anaenda kuchunga ng'ombe
 
Back
Top Bottom