Mwalimumpole inamaana hujui kuwa Lowasa ndiye aliyewasimamisha wangombea wa ccm majimboni? Kwa taarifa yako inatakiwa ujue kuwa Lowasa alitumia pesa nyingi kuwasimamisha wabunge wanaomkubali ili wampigie upatu aje kuwa rais wa 2015. Ndiyo maana alipoona Batilda kaangushwa alidhiriki hata kutangaza dau la bil. 1 Lema achukue. Nguvu ya umma ndiyo iliyookoa hali hiyo.
Hata shinikizo la wagombea wa CHADEMA walioshinda ubunge kunyimwa haki zao imetokana na Lowasa ili asilimia itakayomuunga mkono isije ikashuka. Matokeo ya Karagwe, Kilombero, Segerea, Chunya, Arumeru Mashariki, Babati vijijini, Nzega nk, ni baadhi ya matokeo yaliyochakachuliwa makusudi.