Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu mdosi mnunua mechi kashinda?...kwa anavyojua kuhonga sikutegemea kushindwa.
Wewe ni Chura aka Mchangani FC.Huyu mdosi mnunua mechi kashinda?...kwa anavyojua kuhonga sikutegemea kushindwa.
Hivi unafahamu kwamba kabla mwaka haujaisha Manji atamilikishwa rasmi timu ya yanga ?Simba ze frog fc wanamchukia Manji,si bora mmwambie yule haini atuombe msamaha k
Mkuu mbona Yanga ishauzwa kitambo tu,si unaona ata uchaguzi ulivyokuwa unapigwa dana dana.Hivi unafahamu kwamba kabla mwaka haujaisha Manji atamilikishwa rasmi timu ya yanga ?