TETESI: Martin Sanya jela ya soka miaka 2

TETESI: Martin Sanya jela ya soka miaka 2

Status
Not open for further replies.

Masue 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
696
Reaction score
1,222
Habari zilizonifikia ambazo hazijathibishwa na TFF, Bodi ya ligi wala chama cha waamuzi ni kwamba, mwamuzi wa kati Martin Saanya na msaidizi wake namba moja (line one) Samwel Mpenzu, wamefungiwa miaka miwili kuchezesha soka. FOR MORE INFO VIST shaffihdaudablogspot.
 
Maamuzi ya kukurupuka hayo.
 
6bd2141c1c30a1c583c91f33bc962ad8.jpg
 
Vipi lile goli la mkono lililofungwa na "Woman of the match" siku ile na kushangiliwa na "mabinti"wengi waliokuwa wamejazana pale Taifa,kuna hatua zozote zilizochukuliwa ikiwa ni pamoja na kuwashauri CHANETA wamjumuishe mchezaji yule kwenye timu yao ya netball?
 
Angeongezewa mingine miwili iwe minne na pia sijaridhika bado nilitaka pia tambwe afungiwe mechi 3...na goli la ajibu likubaliwe.
 
Sasa kama ni kweli Simba Sc ambayo inalalamika kuwa referee hakuwa fair inawezaje kupata haki ambayo wao wanaona walistahili? Inaweza kupata point zaidi ya ile moja na lile goli la Amis likakataliwa? Sifahamu sheria za michezo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom