Habari zilizonifikia ambazo hazijathibishwa na TFF, Bodi ya ligi wala chama cha waamuzi ni kwamba, mwamuzi wa kati Martin Saanya na msaidizi wake namba moja (line one) Samwel Mpenzu, wamefungiwa miaka miwili kuchezesha soka. FOR MORE INFO VIST shaffihdaudablogspot.
haya bhana ndio hivyo ashakula miaka yake miwili safiiDua la kuku halimpati mwewe!
Tutakurupuka zaidi mkituletea fyongo tenaMaamuzi ya kukurupuka hayo.