Davies Davies
Senior Member
- May 20, 2013
- 118
- 12
Mabango yamezidi humu Jf jamani kiasi kwamba Jf imegeuka kuwa jukwaa la mabango na matusi utafikiri tuko dodoma!!!!!
sasa kama umechoka kukaa nyumban tukusaidie nini?
Kakae porini sasa
Kwa hili jibu. Dah! mkuu umewahi kuwa Policeman nini?
Kill your self
kwani una F Ngapi? maana F zote ni sawa na B