TETESI: Mechi kati ya Mtibwa Vs Yanga, wachezaji wapanga kugoma kuingia uwanjani

Status
Not open for further replies.

beal

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
60
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi ni kuwa wachezaji wa timu ya Dar es salaam Young Africa wamedokeza kuwa hawatakuwa tayari kuingia uwanjani katika mechi yao dhidi ya Mtibwa siku ya jumapili hadi hapo watakapolipwa malimbikizo ya mshahara wao wa miezi takribani mitano.

Mmoja wa wachezaji akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina amesema kuwa "hapo awali tulipo goma kufanya mazoezi uongozi ulituahidi kuwa utashughulikia matatizo yetu hivyo kutuomba radhi na kutupooza kwa fedha chache ambapo walitueleza kuwa hyo ni nje ya mishahara lakini cha kushangaza kadri siku zinavyokwenda hatuoni hatua zozote zikichukuliwa.

Awali ilkuwa tugomee mechi na Simba lakini uongozi ukatuahidi kuwa kwakuwa mechi hyo ina mapato mengi hvyo wangeyatumia kutulipa malimbikizo yetu lakini haikuwa hvyo hadi leo, yaani sisi wachezaji tunanuka dhiki kama siyo wafanya kazi wao.

Mchezaji huyo alienda mbali zaidi kwa kudai kuwa mwenzao(BOSOO) alivyogoma uongozi ulishtuka na kulifanyia kazi fasta tatizo lake iweje wengine.
 
Ndio matokea ya club zetu ya kutegemea mtu mmoja.
 
Huu ni mwanya,,,,waendelee tu kufarakana,
 
Fake story.
 
Duh kweli washika mpini wameimaliza Yanga....inaonekana wamedhamilia kabisa, ndo unaona watani wao kimyaaaaa....wanawaza ubingwa bara tu....kwa mwendo huu ubingwa bara wao , wakishindwa safari hii basi tena.
 
Makonda a k a Bashite ameiua Yanga huku wana Yanga hatuwezi hata ku react !!.
 
Mechi itafanyika mtibwa watabeva point 3 na gori 3 nayo yakuacha kuingia uwanjan watajua wao yanga
 
Wagome tu ili furaha ya wanajangwani hasa CCM ikosekane ili wamchukie anko anaye dili na mleta furaha wao ili 2020 achomoke tz tupate furaha coz ata sie tusiokua mashabiki hatuna furaha na anko
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…