TETESI: Mechi kati ya Mtibwa Vs Yanga, wachezaji wapanga kugoma kuingia uwanjani

Status
Not open for further replies.
Kwenye kipindi hiki ambacho Manji yupo kwenye misukosuko Mzee Akili mali aokoe jahazi.
 
Makonda a k a Bashite ameiua Yanga huku wana Yanga hatuwezi hata ku react !!.
Unaambiwa wanadai malimbikizo ya mishahara ya miezi 5, bashite amehusikaje? Suala la manji kulostika halijamaliza hata nwezi !!!! Tafuteni namna muwalipe acheni visingizio
 
Furaha yangu ni kuona nyumba ya jirani ikizidi kubomoka.
 
Poleni watani, kaeni pamoja mumuombe Riz ili anusuru timu.
 
Mdosi atalipaje Mishahara Wakati Timu anaidai Bilioni 11?
Kweli Nakubali Kuwa Nyinyi ni Wakimataifa Kwa Uzembe......
 
***** hii yoote ni kwa sabab ya farasi BASHITE
 
Kwani mdosi kasusa?..mzee Akilimali hana taarifa amalize hiyo mambo?
 
Safi sana
Adui muombee njaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…