Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Petrol imeshuka kwa sh 98/= TUKesho si ndio inatarajiwa bei ya mafuta kushuka?
Na pia Daladala za Mbagala nazo kesho hazitakiwi barabarani.
Let's see
Kutakuwa na mgomo wa madereva wa malori yanayosafirisha mizigo kesho.
Nimepakia mzigo wangu kwenye lori ila nimepewa angalizo, kwamba kesho hawatashusha sababu kutakuwa na mgomo. Labda kama watafika kabla ya saa 12 ahsubuhi ndio naweza kushusha. Nimeongea na m1 wa madereva ambao huwa namtumia kanihakikishia kuwa kesho mgomo upo.

Jiongeze Amegoma hadi kufuata kanuni za uandishi.Mgpmo wa madwreva ni nini yarabi!!!
Kila mtu ana njaa yake, tusubiri huo mgomo tuone. Ukigomea gari tajiri atampa mwezio asiye na ajira. Maisha yana changamoto nyingi.Kutakuwa na mgomo wa madereva wa malori yanayosafirisha mizigo kesho.