Tetesi, Mkataba mwingine bandarini na Misri wazua taharuki ya chini kwa chini

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
MKATABA MWINGINE BANDARINI NA MISRI WAZUA TAHARUKI YA CHINI KWA CHINI!

Ndugu Watanzania!
Tumepata taarifa kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Chuo cha Arab Academy for Science Technology and Maritime Transport (AASTMT) cha Misri wametia sahihi makubaliano ya kushirikiana kutoa mafunzo ya shughuli za kibandari kwa Wafanyakazi.

Kwa mujibu wa taarifa hizo,makubaliano hayo, Tanzania kupitia TPA itapeleka watumishi wake kusoma Misri. Hii haitakuwa scholarships, bali Tanzania itakuwa ikilipia watu wake ada. Hata hivyo, makubaliano hayo yamezua mjadajala mzito miongoni mwa wadau ambao ni pamoja na manahodha wa meli, wahandisi wa meli na wahadhiri katika Chuo cha Ubaharia Tanzania yaanjli Dar es Salaam Maritime Institute (DMI) ambacho hutoa kozi hizo wakidai kuwa hiyo ni njia ya kukihujumu Chuo hicho. Baadhi ya hoja zao ni hizi:

Matumizi mabaya ya Fedha: Kutuma watumishi nje ya nchi kutagharimu fedha nyingi ambazo zingeweza kuwekezwa katika Chuo cha DMI ili kukiimarisha zaidi.

Kudhoofisha na kudhalilisha vyuo vya ndani: Hatua hiyo itaidhoofisha DMI na kufifisha zaidi ukuaji wake.

Kutelekeza Uchumi wa Blue: Kuimarisha vyuo vya ndani kunaiweka vizuri Tanzania katika kuinua rasilimali za Baharini.

Kukosekana kwa uwazi wa mchakato huo: Kwa kuwa mchakato huo haukuwa wa wazi, kuna maswali kuhusu kama uamuzi huo umebeba manufaa ya umma au una manufaa binafsi.
Wadau wanapendekeza kuwa:

TPA iwekeze zaidi katika Chuo chetu cha DMI kwa kuboresha na kuimarisha mitaala na kama itawezekana kuwaalika wakufunzi kutoka nje ya nchi ili kushusha gharama za Tanzania kupeleka watumishi wake nje. Njia nyingine ni kupeleka kusomesha wahadhiri kwa kozi ambazo hazipo nchini ili wakirudi waanzishe kozi hizo hapa Chuoni kwetu au pia kusomesha wahadhiri nje kwa kozi za PhD.

Wadau wanashangaa uamuzi wa TPA kupeleka vijana kusoma Uhandisi wa Meli nchini Misri wakati DMI ipo na inaheshimika sana hata nchi za Afrika Magharibi wanataka kuja kusoma DMI lakknky TPA wanaona Chuo hiki hakina maana.

Hata hivyo, kwa kuwa wadau hao wengi wao ni waajiriwa wa Serikali wanaogopa kujadiliana kwa uhuru na uwazi huku wengi wakitumiana ujumbe wa maandishi hata kupigiana simu.
Sisi Askofu Mwamakula tulipopata taarifa hizi kupitia kwa mmoja wa wastaafu tumeona ya kuwa ni vizuri tuweke hadharani jambo hili ili kuwapa uhuru wadau kuliweka andiko hili huko katika makundi yao sogozi.

Pamoja na hayo, kwa kuwa baadhi wamehoji juu ya uwazi wa mchakato huo makubaliano hayo, tunashauri mchakato huo uchunguzwe kama ulikidhi vigezo kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu kuhusu masuala ya mikataba na nchi au taasisi za kimataifa. Je, kama wadau wakuu wanahoji makubaliano hayo, ni nani aliyeshiriki katika kushauri juu ya jambo hilo?

Je, kulikuwa na ushirikishwaji wowote? Ni nani alihusika kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu hili? Je, kuna shida gani ilijitokeza katika Chuo chetu cha DMI hadi tuingie mikataba ya kutaka kusomesha watumishi katika fani ambazo zipo DMI? Je, mkataba unaeleza ni fani gani na kwa ngazi gani za kusomesha watu kule Misri? Je, mkataba huo unatoa kipindi cha muda gani? Je, mkataba huo unaweza kuwekwa hadharani kwa wadau ili waweze kuusoma na kuuelewa?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 3 Februari 2025; saa 5:20 usiku
 
Yule bibi 😳
 
Attachments

  • IMG-20250204-WA0018.jpg
    IMG-20250204-WA0018.jpg
    83.7 KB · Views: 2
  • IMG-20250204-WA0015.jpg
    IMG-20250204-WA0015.jpg
    209.2 KB · Views: 3
  • IMG-20250204-WA0013.jpg
    IMG-20250204-WA0013.jpg
    177.2 KB · Views: 3
  • IMG-20250204-WA0012.jpg
    IMG-20250204-WA0012.jpg
    96.3 KB · Views: 4

Hii race tumelaniwa yaani kuleta walimu wafundishe na kuboresha miundombinu ya chuo na kupelekwa rundo la watanzania huko nje kipi Bora?
 
Na bado
 
Kama ni kweli basi itakuwa ni mikataba wa kipuuzi kabisa.Hapo wanaenda kuimarisha chuo Cha misiri na kukiua Cha Tanzania.Ingekuwa kama watalupiwa na serikali ya misiri hapo sawa.Hatari sana Huyu mama Kwa kuruhusu mambo ya kijingakijinga kufanyika
 
Watanzania na hasa wasomi ubunifu ni zero; bora wamisri mara 100.

Labda uishauri serikali wajenge kwa wingi :
1. Vyuo vikuu vya kuzalisha machawa;maana hiyo ndiyo kazi tunaiweza kwa ufasaha,, au

2. Kujenga vyuo vikuu vya kufundisha umahiri katika ufisadi

PS
Kwa hizi kozi mbili hakuna haja ya kutafuta wahadhiri kuwa mbogaboga ina wabobezi wengi kwenye hizo fani
 
Mama anauza Tanganyika yote halafu anarudi kwao kizimkazi
 
Back
Top Bottom