Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC.

Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI.

Credit: Nassib Mkomwa
 
Kuna kamati ambayo Singida black stars iliitangaza, ndani ya hiyo kamati yupo GSM, Fatma Dewji, nk. Hiyo kamati ndo imeshiriki kwenye ujenz wa uwanjan.
 
Hamna hata picha?
 
Elezea kidogo miundombinu ya uwanja. Una ukubwa gani (una uwezo wa kuingia watu wangapi?) Una viwango vya kimataifa? Utafaa kuchezewa mechi za caf zijazo?
 
Kwa wasiojua huo uwanja uko kilometa kadhaa nje ya mji wa singida kijiji cha igauri kuelekea ilongero. Uwanja upo peke yake vichakani labda watu watajenga vitega uchumi vyao jirani na uwanja angalau ionekane ni senta. Kwa uzinduzi huo mashabiki watasafiri kwenda huko nje ya mji na watazoea tu kwenda huko kunako mechi za singida black stars
 
Kuna kamati ambayo Singida black stars iliitangaza, ndani ya hiyo kamati yupo GSM, Fatma Dewji, nk. Hiyo kamati ndo imeshiriki kwenye ujenz wa uwanjan.
Kwamba uwanja ni kitu kisichoweza kuonekana hadi iwe tetesi kwamba umekamilika hivyo bado tu kuzinduliwa?
 
Back
Top Bottom