Hivi hawa vijana wa Rage wanapata wapi ujasiri wa kumhusisha GSM, kiumbe wanayemchukia na hao ndugu wao wawili!!Aden Rage alikua sahihi sana
Hamna hata picha?Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC.
Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI.
Credit: Nassib Mkomwa
Kwamba uwanja ni kitu kisichoweza kuonekana hadi iwe tetesi kwamba umekamilika hivyo bado tu kuzinduliwa?Kuna kamati ambayo Singida black stars iliitangaza, ndani ya hiyo kamati yupo GSM, Fatma Dewji, nk. Hiyo kamati ndo imeshiriki kwenye ujenz wa uwanjan.