- Kuna tetesi mpya na nzito sana kwamba yule mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar, aliyekuwa mume wa marehemu mbunge Amina Chifupa, amefariki dunia leo mjini Dar.
- Bado tunazifuatilia kwa karibu habari za tetesi, ili kuzithibitisha ukweli wake.
Respect.
Field Marshall Es, ni Wazee wa Sauti ya Umeme!