TETESI: Real Madrid watenga kiasi cha €150 kwa Hazard

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
1,821
Reaction score
6,119
Imeripotiwa tayar Real Madrid wapo kwenye mchakato wa kunasa sain ya mchezaji nyota wa Chelsea Eden Hazard na tayar zimetengwa €150 kwa ajili ya kuhakikisha wananasa sain ya mchezaji huyo

Chanzo:Googlesport
 
Nilijuwa tu..... Kama lazima Perez atapeleka MAUMIVU Pahala
 
Jembe hilo...watu kama hawa ndiyo nguzo ya timu bwana, na sio mabishoo kama akina neema...
 
€150!!!!! Mi natoa €180,aje Yanga
 
Chelsea huwa wanafanya vizur sana ktk kuuza wachezaji wao wanapata faida sana
 
Acha aende tupige mpunga huo wa Perez, lakini aongeze ifike 200.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…