. . . sasa kuna madai kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Richmond na Kigoda hivi leo wameajiriwa Ikulu. Katika hao ni pamoja na wale ambao kwa muda mrefu wamekuwa makuadi wa wakubwa mbalimbali na walionunuliwa na Watanzania wasio na asili ya Kiafrika.
INAELEKEA ajira katika nafasi za juu ikiwemo zile za washauri na waandishi huko Ofisi za juu hazifanyiwi utafiti wa kutoshq na sasa kuna madai kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Richmond na Kigoda hivi leo wameajiriwa Ikulu. Katika hao ni pamoja na wale ambao kwa muda mrefu wamekuwa makuadi wa wakubwa mbalimbali na walionunuliwa na Watanzania wasio na asili ya Kiafrika.
Wamekuwa wakifanya kazi hii sio Tanzania tu bali pia hata nchi za nje ikiwemo Marekani na Uingereza.
Kusema kweli JK anamatatizo na hao washauri wake; kwahiyo sintashangaa kama tetesi hizo ni kweli kwani nasikia pia amemteua jamaa anayeishi na kufanya kazi nje ya Tanzania kuja kuwa mwenyekiti wa bodi ya TIB [Tanzania Investment Bank]; kama hiyo ni kweli bas itabidi huyo bwana alipiwe ticket ya ndege na malazi hoteli kubwa kubwa mara anapokuja kwenye vikao.; hizi ni unnessary burden kwa walipa kodi.Hivi kweli hakuna watu hapa nchini wenye qualification na uzoefu wa kuongoza TIB ambao wangeweza kuifanya kazi hiyo bila gharama za ziada za ndege na hoteli?. Si hivyo tu , huyo bwana aliyeteuliwa ni mkurugenzi wa benki nyingine binafsi hapa nchini sasa huoni kuna conflict of interest kumteua mtu kama huyo kuwa mwenyekiti wa benki ya Umma? Hawa wapambe wa muungwana wanampelekea madudu mengi sana na yeye anayapitisha tu pengine muungwana mensab mdogo anamchosa sana hana time ya kufikiri sana!!
Join Date: Sat Jan 2008
Location: Zanzibar
Posts: 32
Rep Power: 0
Huduma has much to be proud ofHuduma has much to be proud ofHuduma has much to be proud ofHuduma has much to be proud ofHuduma has much to be proud ofHuduma has much to be proud ofHuduma has much to be proud ofHuduma has much to be proud of
Thanks: 0
Thanked 10 Times in 9 Posts
Credits: 4,451