Hivi mnafikiri hata Jk mwenyewe anajua kinachoendelea? Jamaa wamemuwekea ukuta kiasi kwamba sitoshangaa suala la Rostam na Mengi bado hajalisikia! Ni wa mwisho kujua kinachoendelea, msiniulize kwanini.
Mkuu taratibu, wana mkono wa ajabu hawa jamaa....si unakumbuka ulimfikia hata daudi.mmh.. basi kesho itakuwa vurugu maana miye ndiyo nimefyatuka!
... hizi bado ni tetesi, hadi pale serikali itakapotangaza rasmi,
Hapana, hapana bana, tafadhali. Tetesi ni taarifa ambayo huna hakika nayo. Wewe umesema "chanzo chako ndani ya serikali" kimekupasha habari. Kwa hiyo usiseme ni tetesi kwa vile eti bado sio taarifa rasmi iliyotolewa na serikali. Taarifa isiyo rasmi na tetesi ni vitu viwili tofauti. Kwako wewe hii haiwezi kuwa tetesi.
Wote tu waswahili bana, sidhani kama tunaweza kuchengana chengana kwa lugha hii. Sasa hii ni "tetesi" au una hakika nayo lakini sio habari rasmi bado?
Na huyo "chanzo" na mwandishi wa KULIKONI na Halisi ni watu tofauti au tunazungumzia "utatu mtakatifu"?
Hivi mnafikiri hata Jk mwenyewe anajua kinachoendelea? Jamaa wamemuwekea ukuta kiasi kwamba sitoshangaa suala la Rostam na Mengi bado hajalisikia! Ni wa mwisho kujua kinachoendelea, msiniulize kwanini.
ligi hizo sasa!
Hii "tahariri iliyoikera serikali" ni response ya KULIKONI kwa kile SERIKALI serikali ilichosema jana, Jumatatu, tarehe 11, kupitia Naibu Waziri Bendera, hivyo hii makala ni ya leo, Jumanne tarehe 12.
Leo hii hii KULIKONI wametoa makala, na leo hii hii serikali ikatoa tishio, na leo hii hii "mtoa habari wa JF ndani ya serikali" akainasa data na kukuletea, na leo hii ukaja bandika "tetesi" hapa..du, vyanzo vyako vikali. "Tetesi"...
vipi mzee mbona unaonekana unaweweseka, tulia hutakiwi kutishia watu. kwa sababu humjui yeye ni nani sikujui wewe ni nani hunijui mimi ni nani na nafanya nini.Sawa kabisa, unachunguza, dadisi, swalisha, chambua, hoji, thibitisha every darn thing kinachosemwa na serikali, waleta data, wapinzani, waandishi, wazabuni, prosecutors, waheshimiwa, wanavijiji na wanahalisi.
Tumeshaamka sasa hivi Watanzania. Hatuamini amini tena na kubugia kila tunachopewa kama maji ya sharubati.
Huwezi kuja kusema umeambiwa siri na leak source mmoja huko lakini ni tetesi mpaka serikali itamke. Aidha umeambiwa au hujaambiwa, tetesi.
hutakiwi kutishia watu.
Lakini ninavyosoma inaelekea wapo wanaojuana humu ndani. Hata kama wewe humjui mtu, labda yeye anakujuavipi mzee mbona unaonekana unaweweseka, tulia hutakiwi kutishia watu. kwa sababu humjui yeye ni nani sikujui wewe ni nani hunijui mimi ni nani na nafanya nini.
Sawa kabisa, unachunguza, dadisi, swalisha, chambua, hoji, thibitisha every darn thing kinachosemwa na serikali, waleta data, wapinzani, waandishi, wazabuni, prosecutors, waheshimiwa, wanavijiji na wanahalisi.
Tumeshaamka sasa hivi Watanzania. Hatuamini amini tena na kubugia kila tunachopewa kama maji ya sharubati.
Huwezi kuja kusema umeambiwa siri na leak source mmoja huko lakini ni tetesi mpaka serikali itamke. Aidha umeambiwa au hujaambiwa, tetesi.
Sawa kabisa, unachunguza, dadisi, swalisha, chambua, hoji, thibitisha every darn thing kinachosemwa na serikali, waleta data, wapinzani, waandishi, wazabuni, prosecutors, waheshimiwa, wanavijiji na wanahalisi.
Tumeshaamka sasa hivi Watanzania. Hatuamini amini tena na kubugia kila tunachopewa kama maji ya sharubati.
Huwezi kuja kusema umeambiwa siri na leak source mmoja huko lakini ni tetesi mpaka serikali itamke. Aidha umeambiwa au hujaambiwa, tetesi.
Hivi mnafikiri hata Jk mwenyewe anajua kinachoendelea? Jamaa wamemuwekea ukuta kiasi kwamba sitoshangaa suala la Rostam na Mengi bado hajalisikia! Ni wa mwisho kujua kinachoendelea, msiniulize kwanini.
Sawa kabisa, unachunguza, dadisi, swalisha, chambua, hoji, thibitisha every darn thing kinachosemwa na serikali, waleta data, wapinzani, waandishi, wazabuni, prosecutors, waheshimiwa, wanavijiji na wanahalisi.
Tumeshaamka sasa hivi Watanzania. Hatuamini amini tena na kubugia kila tunachopewa kama maji ya sharubati.
Huwezi kuja kusema umeambiwa siri na leak source mmoja huko lakini ni tetesi mpaka serikali itamke. Aidha umeambiwa au hujaambiwa, tetesi.
vipi mzee mbona unaonekana unaweweseka, tulia hutakiwi kutishia watu. kwa sababu humjui yeye ni nani sikujui wewe ni nani hunijui mimi ni nani na nafanya nini.