Tetesi: Sherman apigwa bei S.Africa

Tetesi: Sherman apigwa bei S.Africa

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Kuna tetesi kwamba Yanga imemuuza mshambuliaji wake Sharman raia wa Laberia bondeni na ataondoka kesho au j3 kwenda kujiunga na timu yake mpya.
Mwenye taarifa rasmi atujuze.
 

Kpah Sherman anapigwa Bei mapema tu ili tutafute jembe lingine fastafasta kwa ajili ya Msimu ujao.
 
na cotinyo atafutiwe timu mapema wanajaza nafasi tu. tunawataka akina ngoma wengine.
 
Back
Top Bottom