Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,986 Jul 24, 2015 #1 Kuna tetesi kwamba Yanga imemuuza mshambuliaji wake Sharman raia wa Laberia bondeni na ataondoka kesho au j3 kwenda kujiunga na timu yake mpya. Mwenye taarifa rasmi atujuze.
Kuna tetesi kwamba Yanga imemuuza mshambuliaji wake Sharman raia wa Laberia bondeni na ataondoka kesho au j3 kwenda kujiunga na timu yake mpya. Mwenye taarifa rasmi atujuze.
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 2,902 Reaction score 1,875 Jul 24, 2015 #2 We umezitoa wapi hizo habari???
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,986 Jul 24, 2015 Thread starter #3 delako said: We umezitoa wapi hizo habari??? Click to expand... Kwenye vyanzo vya tetesi....
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 2,902 Reaction score 1,875 Jul 24, 2015 #4 Kwa hyo wewe ni tetesi??
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,986 Jul 24, 2015 Thread starter #5 delako said: Kwa hyo wewe ni tetesi?? Click to expand... Bandiko linajieleza!!!
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Jul 24, 2015 #6 Kpah Sherman anapigwa Bei mapema tu ili tutafute jembe lingine fastafasta kwa ajili ya Msimu ujao.
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,804 Reaction score 10,715 Jul 24, 2015 #7 Keshatimka huyo. Hata taifa hakuwepo leo
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 Jul 25, 2015 #8 Hahahhaha
cnjona JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 1,027 Reaction score 239 Jul 25, 2015 #9 na cotinyo atafutiwe timu mapema wanajaza nafasi tu. tunawataka akina ngoma wengine.
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Jul 25, 2015 #10 Majibu NAyo n tetesi ujiandae kwahilo ssebo