Tetesi: shilole anaolewa Leo hii lakini ndugu zake wanataka kukinukisha

Shishi Trump akili atakuwa amerithi kwa Dingi..,
 
Kama vile ndoa ishafungwa, nimeona picha zinasambaa
 
Ndugu wanadai Shilole amewatupa toka ampate Uchebe na Hata kutimuliwa kwao Nyumbani kwa Shishi kuna mkono wa Uchebe. Pia Wanadai Uchebe anamchuna ndugu yao hivyo Shilole badala ya kuwasaidia wao, ye anamhonga Uchebe.

na wao wakatafute wapenzi wao wawaonge

"vidampa natupa lupango, wasijeharibu mipango"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…