Tetesi:Simba kumsajili Mukoko Tunombe midfielder wa AS Vita

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Huyu jamaa ni mzuri na akitia wino ni midfielder mzuri sana.

Lakini mbona simba haiangalii eneo mabeki,Ukiangalia Nyoni uzee ushamfikia na kiwango kimeshuka ,wadau wa Simba mnasemaje simba waangalie pia mabeki
 
Simba ina tatizo la beki wa kati, kiungo mkabaji, na mshambuiaji mwenye shabaha haswa wa kusimama na Kagere.
Huyoo mkongo ni kiungo mkabaji anakuja kufuta pengoo la kotei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…