Tetesi: Tetesi: Sunderland the Only One kachukua tenda ya jezi za Simba

Tetesi: Tetesi: Sunderland the Only One kachukua tenda ya jezi za Simba

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Tetesi hizi zina ukweli wowote? Kuwa Sunderland the Only One kaweka bilioni 4 kuchukua tenda ya jezi za Simba?

IMG_7341.jpeg
 
Mambo ya kipumbavu yanaendelea Simba yangu. Bado utaratibu wa merchandise ni wa kiwango cha majimaji fc.
 
Mambo ya kipumbavu yanaendelea Simba yangu. Bado utaratibu wa merchandise ni wa kiwango cha majimaji fc.
Mtoto anapoanza Chekechekea huwa hajui kitu, ila kadri muda unavyoenda anajua na kujiongeza.
 
Ni upumbavu mkubwa na kuua brand kutengeneza mijezi ronya ronya ili muuzie watu wengi kwa bei nafuu.

Kuna watu wengi tupo huku mikoani hatuwezi kuvaa jezi hizi za elfu 15 kwani ni za kiwango cha chini mno.
Tengenezeni jezi mtu aiheshimu sio wazoa taka mjini ndio wanavaa wakati wa kazi zao
 
Hi biashara vunjabei imemtia mpaka imemtia tena Hana hamu😀😀😀
 
Back
Top Bottom