Ni upumbavu mkubwa na kuua brand kutengeneza mijezi ronya ronya ili muuzie watu wengi kwa bei nafuu.
Kuna watu wengi tupo huku mikoani hatuwezi kuvaa jezi hizi za elfu 15 kwani ni za kiwango cha chini mno.
Tengenezeni jezi mtu aiheshimu sio wazoa taka mjini ndio wanavaa wakati wa kazi zao