Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,986 Jun 5, 2016 #1 Kumekucha sasa. Ni kwamba kuna tetesi kwamba TFF wameamua kuwaachia Yanga waendelee na mchakato wao wa uchaguzi na wataongea na waandishi wa habari siku ya juma nne.
Kumekucha sasa. Ni kwamba kuna tetesi kwamba TFF wameamua kuwaachia Yanga waendelee na mchakato wao wa uchaguzi na wataongea na waandishi wa habari siku ya juma nne.
R Rio Tinto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2014 Posts 777 Reaction score 451 Jun 5, 2016 #2 Watuachie Yanga yetu...Yanga Umoja wa Mataifa
D DieuMerci Member Joined Jun 4, 2016 Posts 8 Reaction score 5 Jun 5, 2016 #3 Nh habari njema kwa sisi wanayanga na kwa maendeleo ya klabu yetu pendwa
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,986 Jun 6, 2016 Thread starter #4 Confermed!!! Kesho Jamal Malinzi atakutana na uongozi wa Yanga ili kutoa baraka zake.
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,986 Jun 6, 2016 Thread starter #5 Moderator nirekebishieni heading tafadhali. Hapo kwenye kuzungusha=Kuzungumza
Khakha JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 2,981 Reaction score 1,009 Jun 6, 2016 #6 Yaani walitaka kuleta mtafaruku klabuni hivi hivi! Masaburi Yao TFF!
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Jun 6, 2016 #7 Walitaka kuleta Siasa kwny Mpira. Kwa kuwa Baba Udom hamtaki Manji basi nao wakatumia furs a hiyo kwa Maslahi yao
Walitaka kuleta Siasa kwny Mpira. Kwa kuwa Baba Udom hamtaki Manji basi nao wakatumia furs a hiyo kwa Maslahi yao
N NEPTUNE JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 542 Reaction score 247 Jun 6, 2016 #8 Yanga haibabaishwi kwa mambo ya kitoto.