Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Tibaigana na kamati yake kwa mara nyingine eti ameirudishia yanga Point zake tatu ambazo walikuwa wamepokwa juzi kwa kumchezesha Canavaro. kama kweli basi nitaachana na soka la bong! Soma hapa kwa habari zaidi.
BIN ZUBEIRY: TIBAIGANA AWAREJESHEA YANGA POINTI ZAO
Tatizo kubwa analo aliyewachagua. lakini nchi hii akili hakuna kabisa. yaani tenga ni mtu kweli wakupewa taasisi aiongoze?
Jaribu kufikiria nje ya box. silazima wawe waliowahi kuwepo. manager is a manager na roles zake zinajulikana. si lazima awe amewahi kucheza kama tenga au wahuni kama wambura. kuna watu wanaweza sana kama mazingira yakibadilishwa! hii ndio inatokea hata kwenye siasa kudhani kuwa mpaka uwe mtoto wa kiongozi ndipo unaweza kuwa kiongoziTenga anastahili mara mia kuliko wote waliowahi kumtangulia, ulidhani apewe Wambura ama ndolanga waliowania naye????