kuna tetesi nimezipata kuwa Udom baadhi ya post wameanza kazi,inasemekana huo mchezo umeshtkiwa Baada ya Mtoto Mwenye hotel 56 karibu na bunge aliemaliza St john,kuonekana anaenda kazin,
Mwenye la zaidi atatujuza.
Hat st John kuna wa2 nadhani wameshaanza kupiga mzigo kichinichin Kama vp kila chuo madudu kama hayo yapo!! So uclaumu sana 2endelee kumuomba Mungu aliye hai ipo cku.
UDOM wameanza sehemu ya academic staff na kwa wale waliofanya application saint John jamaa wamechukua watu waliofanya vyema palepale..kwa hiyo ile ya kutangaza inaweza ikawa geresha na wao wameanza kazi kama wiki tatu zilizopita...